Nous disons tout d’abord un joyeux anniversaire et nos félicitations pour ces 3 ans, personne ne pensait que Radio Ndenga News allait devenir le média de référence dans la province du Tanganyika et devenir une radio pour la région de grand-lac. Grace au radios partenaires, la Radio Ndenga News est écoutée dans plusieurs province de la République Démocratique du Congo, au Burundi, au Rwanda et en Tanzanie.
Radio Ndenga News, c’est aussi le site internet et la page Facebook d’information du pays et un partage régulier des informations sur wattsaps. Radio Ndenga News c’est plus de 100 000 heures de programmes écoutés par mois par la population, majoritairement en langues nationales le swahili.
Depuis le lancement de programme de la Radio Ndenga News, elle travaille pour la consolidation de la paix, du vivre ensemble au Tanganyika et dans la région, nous estimons que c’est l’un de ses plus grands succès. L’autre apport majeur a été de mettre le débat à la portée de tous, notamment avec l’émission phare « A VOUS LA PAROLE ». Politiciens, Armée, représentants de la société civile, artistes, tout le monde est venu et vient s’y exprimer dans le respect du débat équilibré et constructif.
La population a besoin de médias indépendants, médias de référence et de portée nationale, au service de l’intérêt général. C’est la mission que doit continuer de remplir la Radio Ndenga News.
Bravo donc à toutes celles et tous ceux qui l’ont fait et y travaillent encore, et merci au public pour sa confiance et sa fidélité.
Amuri Aleka
Promoteur de la Radio Ndenga News
Februari 5, 2024: Redio Ndenga News, miaka mitatu (03) ya ushirikiano wa jamii kwa ajili ya amani na maendeleo nchini DRC na eneo nzima ya maziwa ma kuu.
Kwanza tunasema heri ya siku kuu ya kuzaliwa ya Radio na hongera zetu kwa miaka hii 3, hakuna aliyefikiria kuwa Radio Ndenga News ingekuwa chombo kuu cha kumbukumbu katika jimbo la Tanganyika na kuwa redio ya ukanda wa maziwa makuu. Shukrani kwa redio washirika, kupitiya wao programme za Redio Ndenga husikilizwa katika majimbo kadhaa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi, Rwanda na Tanzania.
Radio Ndenga News pia ni tovuti ya nchi na ukurasa wa habari wa Facebook na mara kwa mara hugawanyo wa habari kupitiya wattsaps. Redio Ndenga News ina zaidi ya laki moja ya saa za vipindi vinavyosikilizwa kwa mwezi na idadi ya watu, haswa katika lugha za kitaifa za Kiswahili.
Tangu kuzinduliwa kwa vipindi vya Habari kunako Redio Ndenga News, tumefanya kazi ya uimarishaji wa amani na kuishi pamoja ndani ya jimbo letu la Tanganyika na kunako nchi ya kanda ya maziwa na kuu, nahii nimojawapo ya mafanikio makubwa ya Radio Ndenga News.
Mchango mwingine mkubwa ilikuwa kufanya mjadala ufikiwe na watu wote, haswa kupitiya kipindi kikuu « A Vous LA PAROLE ». Wanasiasa, jeshi, wakilishi wa asasi za kiraia, wasanii, kila mtu amefika na kujieleza wakiheshimu mijadala yenye uwiano na kujenga.
Idadi ya watu wanahitaji vyombo vya habari huru, vyombo vya habari vinavyohudumia maslahi ya jumla. Na hii ndio utume ambao Radio Ndenga News inapaswa kuendelea kutimiza.
Nawapongeza wote wanaojitolea na bado wanaendelea kulifanyia kazi, na asante kwa rahiya wote ma bibi na ma bwana kwa uaminifu wenu na kwa kupenda radio yenu.
Amuri Aleka
CEO wa Radio Ndenga News